Întrebare | Răspuns | |||
---|---|---|---|---|
as well
|
Vile vile
|
|||
Hamisi reads a lot. He likes football a lot as well.
|
Hamisi anasoma sana. Vile vile, anapenda sana mpira.
|
|||
Besides that
|
Pamoja na hayo
|
|||
Hamisi reads a lot. Besides that, he likes football a lot.
|
Hamisi anasoma sana. Pamoja na hayo, anapenda sana mpira
|
|||
In addition
|
Zaidi ya hayo
|
|||
Hamisi reads a lot. In addition, he likes football a lot.
|
Hamisi anasoma sana. Zaidi ya hayo, anapenda sana mpira.
|
|||
On top of that
|
Juu ya hayo
|
|||
Hamisi reads a lot. On top of that, he likes football a lot.
|
Hamisi anasoma sana. Juu ya hayo, anapenda sana mpira.
|
|||
Moreover
|
Isitoshe
|
|||
Hamisi reads a lot. Moreover, he likes football a lot.
|
Hamisi anasoma sana. Isitoshe, anapenda sana mpira.
|
|||
While + -ing (hu)
|
Huku ... -ki
|
|||
Hamisi is reading a book while watching football
|
Hamisi anasoma kitabu huku akitazama mpira
|
|||
While + -ing (hi)
|
Hivi / Hali... -na
|
|||
Hamisi is reading a book while watching football. (hi)
|
Hamisi anasoma kitabu hivi/hali anatazama mpira.
|
|||
At the same time...
|
Wakati huo (huo)
|
|||
Hamisi is reading a book. At the same time, he is watching football.
|
Hamisi anasoma kitabu. Wakati huo huo, anatazama mpira.
|
|||
Simultaneously
|
Kwa muda huo (huo)
|
|||
Hamisi is reading a book. Simultaneously, he is watching football.
|
Hamisi anasoma kitabu. Kwa muda huo, anatazama mpira.
|
|||
That same day (month, year)
|
Siku hiyo hiyo (mwezi, mwaka)
|
|||
Last Friday, Hamisi read a book. That same day, he watched football.
|
Ijumaa iliyopita, Hamisi alisoma sana. Siku hiyo hiyo, alitazama mpira.
|