Întrebare | Răspuns | |||
---|---|---|---|---|
moja kwa moja
|
||||
Ijumaa iliyopita, Hamisi alisoma sana. Moja kwa moja, alielewa masomo yake.
|
||||
mwanzoe, ... mwishoe
|
||||
Mwanzoe, Hamisi alisoma kitabu. Mwishoe, alitazama mpira.
|
||||
Baada ya kusoma kitabu, Hamisi alitazama mpira.
|
||||
baada ya hapo
|
||||
Hamisi alisoma kitabu. Baada ya hapo, alitazama mpira.
|
||||
baadaye
|
||||
Hamisi alisoma kitabu. Baadaye, alitazama mpira.
|
||||
halafu
|
||||
Hamisi alisoma kitabu. Halafu, alitazama mpira.
|
||||
kisha
|
||||
Hamisi alisoma kitabu. Kisha akatazama mpira.
|
||||
Kabla ya kutazama mpira, Hamisi alisoma kitabu.
|
||||
kabla ya hapo
|
||||
Hamisi alitazama mpira. Kabla ya hapo, alisoma kitabu.
|
||||
kuanzia hapo
|
||||
Hamisi alishindwa mtihani. Kuanzia hapo, alisoma sana akaelewa kila kitu.
|
||||
mpaka hapo
|
||||
tangu Ijumaa iliyopita, Hamisi alisoma sana. Mpaka hapo, alikuwa akitazama mpira.
|
||||
mpaka sasa
|
||||
hadi sasa
|
||||
mpaka sasa, Hamisi alipenda sana kusoma.
|
||||
hatua kwa hatua
|
||||
Hatua kwa hatua, Hamisi akasoma vitabu vyote maktabani.
|
||||
polepole
|
||||
Polepole, Hamisi alishika kitabu na kuanza kusoma.
|